Sheria au Roho?
Subtitle
Mtazamo Mbadala kwa Wagalatia
Subject
Wagalatia na Maadili
Description
Mtazamo huu mbadala unasisitiza mitazamo ya kimaadili ya Wagalatia, ukitaka kuthibitisha kuwa Waraka kwa Wagalatia haupingani tu na washika sheria bali pia na kundi la pili la wapinzani wa Paulo, ambao walipingana kabisa na Agano la Kale na Sheria, na waliishi maisha ya zinaa kwa jina la uhuru wa Ukristo, kipekee, mtazamo uliwekwa na Komentari ya Wilhelm Lutgert ya Mwaka 1919. Paulo anapambana dhidi ya kutanguliwa kwa Sheria ya Agano la Kale na vilevile dhidi ya kuitumia Sheria hii kama njia ya wokovu badala ya neema ya Mungu.
Content
1. Makundi mawili katika Kanisa la Galatia
2. Wagalatia 1:1-5: Hakuna injili ya mtu, kama Wasio-sheria Walivyoamini
3. Wagalatia 1:6-10: Paulo hahubiri injili nyingine kama vile kundi la Wana-uhuru lilivyodai
4. Wagalatia 1:10-24 na 2:1-14: Paulo hakupokea injili yake kutoka kwa watu, kama kundi la Wana-uhuru lilivyodai
5. Wagalatia 2:15-17: Upendeleo wa Wayahudi unapinga kundi la Wasio-sheria
6. Wagalatia 3:1-29: Agano la Ahadi kwa Ibrahimu ni kuu kuliko Sheria, lakini halifuti uhalali wa Sheria
7. Wagalatia 3:8-14: Je, Sheria inajipinga yenyewe?
8. Wagalatia 3:13-14: Mataifa pia wanakabiliwa na hukumu Chini ya Sheria
9. Wagalatia 3:19-21: Malaika na Sheria
10. Wagalatia 3:24: Sheria kama Kiongozi
11. Wagalatia 4:1-20: Mataifa pia wanawekwa huru kutoka katika kawaida za kwanza za dunia
12. Wagalatia 5:1: Sheria ya Uhuru
13 Mapitio: Juu ya Tofauti kati ya Sheria ya Maadili na Sheria ya Maadhimisho
14. Wagalatia 5:6 na 6:15: Sheria ya Maadhimisho katika Waraka kwa Wagalatia
15. Wagalatia 5:7-12: Kujipenyeza kwa ukosa-sheria wa kipagani, kwa kiwango cha kujikata binafsi
16. Wagalatia 5:11: 6:12 Sababu ya mateso
17. Wagalatia 5:13-26: Uhuru danganyifu wa wasio-sheria
18. Wagalatia 6:1-10: Paulo anawasihi Wasio-sheria kuchukua mizigo ya wengine na kufanya mema
19. Wagalatia 6:2: Sheria ya Kristo inawafunga pia wasio-sheria
20. Wagalatia 6:11-18: Kutokuwa sawa kwa kundi la Washika-sheria
21. Mapitio: Imani za ushika-sheria
Click to View

Posted : 2012-04-15 22:42:41 GMT
Author/Authors : Thomas Schirrmacher
Publishers : RVB International
ISBN Number : 9976 906 93 5

Total Views : 4145
Total Downloads : 1949

Publication Date : 2007
Revision Date : 2009