Tumaini Kwa Afrika
Subtitle
Hoja 66
Subject
Tumaini
Description
Tunawezaje kudhihirisha msingi wa Kibiblia wa tumaini letu na kulithibitisha kwa Wakristo na kwa wasioamini walioshirikishwa? Tunawezaje kutamka matumaini yetu kwa Wabunge, kwa wafanya biashara au kwa akina mama? Tunawezaje kupeperusha bendera ya tumaini katika dunia inayozama kwenye ukosefu wa matumaini na utazamiaji mabaya tu? Hivyo, tunayo furaha kubwa kuwasilisha hoja za Dk. Thomas Schirrmacher. Matamko haya hujumuisha nia yetu ya kufungua hazina ya tumaini la Kibiblia kwa wengi, yaani wanatheolojia na watu wa kawaida; na kuwatia moyo kufikiri juu ya somo hili.
Content
1. Dibaji: tumaini hutafuta uelewa
2. Tumaini kwa afrika hoja 66
3. Tunahitaji tumaini
4. Tumaini katika mungu pekee halipatikani kwa
5. Jitihada zetu
6. Mungu hutoa tumaini
7. Mungu ni wa kuaminika
8. Tumaini hubadili mwenendo wetu
9. Tumaini katika mateso na upinzani
10. Tumaini mbele ya taswira ya siku ya hukumu
11. Tumaini kwa ajili ya nyanja zote za maisha
12. Visawe na maelezo ya maneno
13. Vifupisho vya maneno
Click to View

Posted : 2012-04-21 18:33:14 GMT
Author/Authors : Thomas Schirrmacher
Publishers : TASCM
ISBN Number : 978-9987-718-02-3

Total Views : 3022
Total Downloads : 2015

Publication Date : 2011