Mafunzo Yahusuyo Uongozi wa Kanisa
Subject
Uongozi wa Kanisa
Description
Utawala wa Kanisa Paulo na Watendakazi Wenzake Yesu kama Mwelimishaji Mkuu Wito wa Mitindo Mbadala ya Elimu kwa ajili ya Kanisa na Misheni Je, Ukatoliki wa Kirumi Umebadilika?
Abstract
Mafunzo Yahusuyo Uongozi wa Kanisa Muundo wa Kanisa wa Agano Jipya – Paulo na Watendakazi Wenzake – Elimu ya Theolojia Mbadala – Uhakiki wa
Content
Utawala wa Kanisa: Ngazi Tatu za Utawala katika Kanisa la Agano Jipya
Ofisi katika Agano Jipya
Ngazi ya Pili ya Utawala: Wazee (Wachungaji)
Ngazi ya kwanza ya Utawala: Wahudumu wa Kiume na Wahudumu wa Kike
Mapitio: Wajibu wa Kijamii katika Kanisa la Agano Jipya kwa
Mujibu wa Matendo 6
Ngazi ya Tatu ya Uongozi (Sehemu ya Kwanza): Ukanisa–mtaa na
Upresbaiteria
Ngazi ya Tatu ya Uongozi (sehemu ya pili): Uepiskopo
Hoja Tisa kuhusu Muundo wa Kanisa na Uongozi
Paulo na Watumishi Wenzake: Jinsi ‘Wamishenari wa Agano Jipya’
Hufanya Kazi Pamoja
Kujifunza kutoka kwa Paulo
Tukio la 1: Paulo anampa Tito umuhimu wa kwanza
Tukio la 2: Usia kwa Mtume
Tukio la 3: Paulo Anakataa Kupanda Kilele cha Kiroho
Tukio la 4: Kufundisha kwa Kielelezo
Yesu kama Mwelimishaji Mkuu
Mafundisho na Maisha
Mafunzo ya Mitume Kumi na Wawili
Paulo na Watendakazi Wenzake
Kuwa na Kielelezo cha Kuigwa, Kuwa Kielelezo cha Kuigwa
Wito wa Mitindo Mbadala ya Elimu kwa ajili ya Kanisa na Misheni:
Hoja 21
Je, Ukatoliki wa Kirumi Umebadilika?
Mapitio ya Sheria ya Kanoni ya Hivi Karibuni
Au: Uondoaji Mamlaka ya Baraza kwa njia ya Upapa (1990)
Mahali pa Kuanzia: Matumizi ya Neno “Mapokeo” katika
Maandiko
Mapokeo katika Agano la Kale
Mapokeo katika Agano Jipya
Kiini cha Sheria ya Kanisa Katoliki
Sheria za Kanisa Katoliki kwa ujumla
Tofauti kati ya Haki ya Mungu na ya Kibinadamu katika Sheria ya Kanisa
Sheria Mpya ya Kanoni ya Kikatoliki ya 1883
Sheria ya Kanisa kama Uelezi wa Upapa
Uhalisia wa Sheria ya Kanoni
Usuli wa Kihistoria wa Sheria Mpya ya Kanoni
Tofauti kati ya Sheria za Kanisa za 1917 na 1983
Maoni ya Jumla juu ya Sheria Mpya ya Kanisa
Mwendo Kuielekea Biblia?
Makuzi katika Sheria Mpya ya Kanisa?
Mifano ya Uhifadhi wa Mafundisho ya Kikatoliki katika Sheria
Mpya ya Kanisa
Hitimisho
Ibara Muhimu za Sheria Mpya ya Kanisa
Visawe na Maelezo ya Maneno
Click to View

Posted : 2012-04-22 23:39:08 GMT
Author/Authors : Thomas Schirrmacher
Publishers : TASCM
ISBN Number : 978-9987-718-06-1

Total Views : 6556
Total Downloads : 3097

Publication Date : 2011